- 1,628 viewsDuration: 3:01Rais William Ruto ameiagiza halmashauri ya kusambaza dawa nchini KEMSA kuhakikisha kuwa zahanati zote nchini zinapata dawa bila kukosa. Rais akiitaka KEMSA kuhakikisha dawa hizo zinapelekwa moja kwa moja kwa zahanati ili kuepuka mfumo wa sasa wa kupitia serikali za kaunti. Haya yamejiri huku seneta wa Nandi Samson Cherargei akiibua mdahalo huko nandi kuhusiana na wadhifa wa naibu rais.