Skip to main content
Skip to main content

Miaka 20 ya ODM yaadhimishwa huku mipasuko ikipuuzwa

  • | Citizen TV
    3,590 views
    Duration: 2:46
    Viongozi wa odm leo wamefanya maombi maalum kaunti ya Kilifi, wakihitimisha hafla za kuadhimisha miaka ishirini ya chama hicho. Hayo yanajiri huku waanzilishi wa chama hicho wakiongozwa na Rais William Ruto wakikongamana jana usiku kwa maankuli ya pamoja kukumbuka kubuniwa kwa chama hicho cha chungwa.