- 448 viewsDuration: 2:43Juhudi za kuwapa upya makao waathiriwa wa maporomoko ya ardhi eneo la Chesongoch kaunti ya Elgeyo Marakwet zimeendelea huku serikali ikiandaa mikakati kuwahamisha wale walio hatarini. Gavana Wesley Rotich amesema haya huku maandalizi ya mazishi ya waathiriwa wa maporomoko haya yaliyowaua watu 40 yakipangiwa juma hili.