- 374 viewsDuration: 2:27Mamlaka ya usalama barabarani NTSA sasa inasema itawakagua upya baadhi ya madereva kama mojawapo ya mikakati ya kupunguza ajali za barabarani. Akizungumza jijini Eldoret, kaimu mkurugenzi mkuu wa mamlaka hiyo amewataka madereva kuwa waangalifu msimu wa sikukuu unapokaribia akisema watu elfu 21 wameathirika na ajali mwaka huu pekee.