16 Nov 2025 7:44 pm | Citizen TV 359 views Duration: 41s Timu ya wanawake ya raga kutoka afrika kusini maarufu kama springbok imetetea ubingwa wake wa raga ya afrika kwa kuwàlaza wenyeji kenya alama 22-0 katika uwanja wa RFUEA hapa Nairobi.