Skip to main content
Skip to main content

Wabunge kutoka Kirinyaga: Tutoke serikali twende wapi?

  • | NTV Video
    185 views
    Duration: 1:56
    Viongozi wa kaunti ya Kirinyaga wameendelea kushinikiza haja ya umoja katika eneo la Mlima Kenya, wakisisitiza kuwa miradi ya maendeleo inayoendelea katika kaunti na nchi nzima inaweza kustawi tu chini ya mazingira ya utulivu wa kisiasa na ushirikiano thabiti na serikali ya Kenya Kwanza. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya