Skip to main content
Skip to main content

Sherehe ya harusi yageuka maombolezo, wanakwaya waliotoka Kakamega wafariki kwa ajali ya Kodada

  • | Citizen TV
    11,817 views
    Duration: 2:31
    Watu kumi waliofariki kwenye ajali ya jana usiku katika eneo la Kodada walikuwa wamehudhuria harusi kaunti ya Kakamega katika ya kukumbuna na mauti yao. Hata hivyo, sasa kijiji cha Sichirai kaunti ya Kakamega, kulikotoka jamaa na wanakwaya waliofarii kimegeuza sherehe kuwa mazishi. Bwana harusi Kefa Angaya sasa akisimulia jinsi alitangamana na wale walioangamia, ambao walihudhuria harusi yake siku ya Jumapili