18 Nov 2025 11:00 am | Citizen TV 254 views Duration: 1:46 Wabunge kutoka Kaunti ya Meru, wamewakosoa viongozi wa upinzani wakidai hawana ajenda yenye manufaa kwa wananchi.