18 Nov 2025 1:39 pm | Citizen TV 341 views Duration: 1:53 Viongozi wa ODM Kaskazini mwa Kenya wamewaomba viongozi wa kitaifa kusitisha malumbano na tofauti baina yao na kujituma kuhakikisha chama hicho kimeimarisha mashinani tayari kwa uchaguzi mkuu mwaka 2027