Chebukati achongewa na Azimio

  • | NTV Video
    18,101 views

    Mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini Wafula Chebukati huenda akajipata pabaya iwapo rufaa iliyowasilishwa na wagombeaji urais wa muungano wa Azimio la umoja Raila Odinga na Martha Karua katika mahakama ya upeo itabatilisha uchaguzi wa William Ruto kama rais mteule.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya