1 Dec 2025 11:12 am | Citizen TV 2,544 views Duration: 4:11 Machifu na manaibu wao 1,837 wanafuzu leo baada ya kukamilisha masomo ya utawala, sheria na usalama. Rais William Ruto anaongoza mahafali hayo katika chuo cha mafunzo ya polisi bewa la Embakasi hapa jijini Nairobi.