Skip to main content
Skip to main content

Vijana washauriwa kuchukua vitambulisho na kura Homa Bay

  • | Citizen TV
    249 views
    Duration: 3:02
    Vijana wanaendelea kushauriwa kuchukua vitambulisho na kujiandikisha kuwa wapigakura ili wapate huduma za serikali na sauti kwenye masuala ya kitaifa.