1 Dec 2025 11:46 am | Citizen TV 219 views Duration: 2:18 Kama juhudi za kuboresha taasisi za kiufundi humu nchini, taasisi hizo zimekumbatia mfumo mpya wa kuwapa wanafunzi mafunzo bora na ambayo yanahitajika katika sekta ambazo zitakazowaajiri wanafunzi kutoka taasisi hizo.