1 Dec 2025 11:42 am | Citizen TV 371 views Duration: 1:50 Ukoo wa Walmega wa jamii ya Ajuran umeandaa mkutano maalum wa amani na umoja uliowakutanisha wazee na viongozi kutoka maeneo mbalimbali.