1 Dec 2025 11:44 am | Citizen TV 585 views Duration: 2:01 Mitandao ya kijamii imetajwa kuchangia ndoa nyingi kuporomoka katika Kaunti ya Lamu kutokana na wanandoa kutumia muda wao mwingi kwenye mitandao huku wakisahau majukumu yao nyumbani.