- 5,915 viewsDuration: 2:16Wafanyabiashara wadogo wadogo katika bustani la Mama Ngina Jijini Mombasa wanaitaka serikali kuu na ile ya kaunti kuondoa baadhi ya ada katika sehemu hiyo ili kuongeza matumaini ya biashara kunawiri zaidi katika bustani hilo