1 Dec 2025 11:35 am | Citizen TV 406 views Duration: 1:45 Viongozi wa kanisa la AIC Kaptote DCC, katika eneobunge la bureti wameshauri wazazi wachunge watoto wao katika msimu huu wa likizo wa krismasi.