1 Dec 2025 11:39 am | Citizen TV 224 views Duration: 1:48 Huku Kampeni za Siku 16 za Kupinga ukatili wa kijinsia kote ulimwenguni zikiendelea , viongozi katika kaunti ya Kirinyaga washinikiza serikali kuanzisha vituo vya kuripoti matukio haya kote nchini .