1 Dec 2025 11:49 am | Citizen TV 6,173 views Duration: 1:45 Serikali ya Kaunti ya Mombasa pamoja na wamiliki wa tuktuk wamezindua mfumo mpya uchukuzi wa tuktuk unaolenga kuimarisha usalama barabarani.