- 4,432 viewsDuration: 22:49Matarajio ya wananchi ni gani kutoka kwa waliochaguliwa? Je, wananchi wamejifunza nini kwenye chaguzi ndogo? Je wana ushauri gani kwa IEBC, polisi, wapigakura, na viongozi? Kuna lipi ambalo mkenya amejifunza kutoka kwa vyama vya kisiasa? Mbona vijana wengi hawakupiga kura na wakaachia wakongwe?