Skip to main content
Skip to main content

| Ukumbi | Kurunzi ya chaguzi ndogo [Part 2]

  • | Citizen TV
    2,518 views
    Duration: 23:40
    Matarajio ya wananchi ni gani kutoka kwa waliochaguliwa? Je, wananchi wamejifunza nini kwenye chaguzi ndogo? Je wana ushauri gani kwa IEBC, polisi, wapigakura, na viongozi? Kuna lipi ambalo mkenya amejifunza kutoka kwa vyama vya kisiasa? Mbona vijana wengi hawakupiga kura na wakaachia wakongwe?