- 982 viewsDuration: 1:15Muungano wa majeshi ya Kiislamu dhidi ya ugaidi umenzisha programu ya mafunzo ya kukabilana na jinamizi la ugaidi nchini. Hafla ya uzinduzi wa kutoa mafunzo hayo ya siku sita kwa wanahabari, wataalamu na wasomi inafanyika hapa Jijini Nairobi.