Skip to main content
Skip to main content

Serikali ya Kaunti ya Kisii yashirikiana na chuo kikuu cha Jianghan kutoa masomo kwa wanafunzi bora

  • | Citizen TV
    944 views
    Duration: 1:45
    Kaunti ya Kisii imetia saini mkataba na Chuo Kikuu cha Jianghan kutoka nchini China ili kutoa nafasi za masomo ya juu kwa wanafunzi bora kutoka kaunti ya Kisii.