Skip to main content
Skip to main content

Kenya yasherehekea ushindi wa Wanyonyi, Sawe na Serem Monaco

  • | Citizen TV
    207 views
    Duration: 1:14
    Wanariadha wa Kenya walikuwa miongoni mwa washindi waliotangazwa wakati wa tuzo za mwanariadha bora wa dunia mjini monaco. Emmanuel Wanyonyi alishinda tuzo ya mwanariadha bora wa kiume wa mwaka, sebastian sawe alishinda tuzo ya mwanariadha bora wa kiume wa mwaka nje ya uwanja huku edmund serem akishinda tuzo ya nyota bora wa mwaka wa kiume.