Skip to main content
Skip to main content

Kısa cha Paka na benki

  • | BBC Swahili
    18,055 views
    Duration: 1:13
    Paka akamatwa na polisi baada ya kengele ya benki Polisi nchini Uturuki waliitikia wito wa dharura baada ya kengele ya benki kuwashwa usiku. Lakini walipofika, hawakukuta wezi wala tukio la uhalifu walimkuta paka mdogo tu, akilia akiomba kutoka Mwandishi wa BBC @frankmavura anasimulia mkasa huu #bbcswahili #paka #wanyama