2 Dec 2025 10:53 am | Citizen TV 60 views Visa vya maambukizi ya virus vya ukimwi 199 vimeripotiwa kaunti ya Makueni kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita huku zaidi ya asilimia 50 ya maambukizi hayo mapya yakihusisha vijana.