2 Dec 2025 1:02 pm | Citizen TV 147 views Duration: 11:17 Siku 16 za uanaharakati dhidi ya dhuluma za jinsia zinaendelea. Tunaangazia pia dhuluma zinazochangiwa na teknolojia. Tunajadili uhusiano kati ya gbv na maambukizi ya HIV. Manusura wa dhuluma wanapataje msaada na kupona?