- 539 viewsDuration: 3:04Serikali imezindua mfumo wa kielektroniki wa usimamizi na kuripoti habari ili kurahisisha utoaji huduma na kulinda data. kadhalika wizara ya usalama imetoa ripoti kuhusu jukwaa la usalama inayoangazia hali ya usalama katika maeneo mbalimbali nchini. Ripoti hiyo itaisaidia serikali kuchukua hatua mwafaka za kuwalinda wakenya popote walipo.