- 1,322 viewsDuration: 51sJaji mkuu Martha Koome anaongoza kongamano la mahakimu na majaji wa jumuiya ya Afrika Mashariki hapa jijini Nairobi. Kwenye kongamano hilo ambalo hufanyika kila mwaka, majaji na mahakimu kutoka mataifa ya afrika mashariki wanajadili mikakati bora ya kufanikisha upatikanaji wa haki mahakamani.