2 Dec 2025 1:12 pm | Citizen TV 356 views Duration: 2:04 Huku walimu wakihamishwa kutoka kwa bima ya afya ya Minet hadi ya SHA, katika Kaunti ya Kilifi afisa wa usajili na uzingatiaji wa kanuni katika mamlaka hiyo amezuru hospitali kadhaa kutathmini huduma za Afya kwa walimu.