2 Dec 2025 1:25 pm | Citizen TV 280 views Duration: 1:48 Idara ya Afya ya Kaunti ya Lamu inahofia kuwa maambukizi ya virusi vya UKIMWI yanaweza kuongezeka kutokana na watu wengi, hasa vijana chini ya umri wa miaka 19, kukosa kuchukua tahadhari za kujikinga dhidi ya virusi hivyo.