- 262 viewsDuration: 2:06Dhuluma za jinsia zinaendelea kuongezeka hasa kwa wafanyakazi wa mashamba ya maua huko naivasha kaunti ya Nakuru. kwa mujibu wa utafiti wa kundi la wanaharakati dhidi ya dhuluma za jinsia la Naivasha , kesi nne huripotiwa kila wiki