Skip to main content
Skip to main content

Wasiotutakia mema Tanzania wanakereka

  • | BBC Swahili
    20,288 views
    Duration: 58s
    Wengi wasiotutakia mema nchi yetu ya Tanzania wanakereka na sifa zetu za undugu.’ - Rais Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wazee wa Dar es Salaam Tanzania amesema wasioitakia nchi hiyo mema wanakereka na undugu na ufanisi wa Tanzania. - - - #tanzania #vijana #uchaguzi #foryou Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw