- 304 viewsDuration: 3:07Katika juhudi za kupunguza changamoto sugu ya uvamizi wa funza miongoni mwa wanafunzi kutoka familia masikini katika kaunti ya Busia, jumla ya wanafunzi elfu arobaini katika kaunti hiyo watanufaika na msaada wa viatu vya bure....mpango huo umefanikishwa na mashirika mbalimbali na viongozi wa kaunti ya Busia.