Skip to main content
Skip to main content

Serikali yashirikiana na Traverze Culture kwenye mpango wa kuwarejesha Wakenya nyumbani kutoka Ughai

  • | Citizen TV
    286 views
    Duration: 1:02
    Serikali ya Kenya, kwa ushirikiano na Traverze Culture, kampuni ya uhamishaji inayomilikiwa na waamerika wenye asili ya Afrika imezindua rasmi mpango wa kuwarejesha nyumbani maarufu Journey Back to Eden (JBE).