2 Dec 2025 1:40 pm | Citizen TV 395 views Duration: 2:13 Idara ya mifugo ikishirikiana na benki ya dunia imeanzisha mpango wa kuchanja mifugo katika kaunti kumi na tatu nchini dhidi ya magonjwa ya miguu na midomo pamoja na sokota kwa mbuzi na kondoo.