- 751 viewsDuration: 1:29Wakazi wa Sironoi, Kimondi na Kapsisiywa katika kaunti ya Nandi wameitaka serikali kuharakisha ujenzi wa barabara ya Chemuswo–Danger, ambayo imekwama kwa miaka mingi kutokana na kuongezeka kwa maji katika daraja la Sironoi–Kimondi.