2 Dec 2025 1:43 pm | Citizen TV 384 views Duration: 2:21 Gavana wa Murang'a, Dkt. Irungu Kang'ata, pamoja na uongozi wa kaunti, ameendelea kuzindua mradi wa Smart City maeno mengi ya kaunti hiyo kwa lengo la kufungua vituo vya ununuzi, miji, na masoko kwa ajili ya kukuza uchumi.