Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Kieni wapinga sheria ya kuwazuia kuteka maji msituni

  • | Citizen TV
    240 views
    Duration: 1:32
    Wakazi laki tatu kutoka Eneo Bunge la Kieni kaunti ya Nyeri wanaotegemea Miradi ya maji ya kijamii kwa matumizi ya nyumbani na ukulima, wamemtaka waziri wa maji kusitisha kwa mda kutekelezwa kwa sheria mpya ya udhibiti wa utekaji wa maji misituni, wakidai hawakuhusishwa kuziunda kanuni mpya zilizo kwenye sheria hiyo.