2 Dec 2025 1:52 pm | Citizen TV 559 views Duration: 3:38 Wakazi wa eneo la Ilmunkush, Kajiado Mashariki, wameandamana wakishutumu viongozi walioko mamlakani kwa kuwasahau katika miradi ya maendeleo kama ujenzi wa barabara.