- 516 viewsDuration: 3:02Vikundi 29 vya wanawake katika eneo bunge la Mbooni kaunti ya Makueni vimenufaika na shilingi milioni 8.3 fedha za hazina ya wanawake nchini . Aidha wametakiwa kutumia fedha walizopata vizuri ili kuendelea kuinua hali zao za maisha.