2 Dec 2025 2:01 pm | Citizen TV 461 views Duration: 1:04 Mabingwa watetezi wa shindano la kandanda la Gavana Wavinya Cup, Katwanyaa Falcons wameonyesha nia yao ya kuhifadhi taji hilo na hatimaye kujishindia shilingi milioni moja.