- 37,765 viewsDuration: 36s'Wazazi mzungumze na vijana wetu, mlishindwa nini kuwakataza kutoka kwenye maandamano, Unaporudi leo mzee ,kijana wako kaumizwa mguu, au bahati mbaya alikufa, ulishindwa nini kumwambia maneno ya hekima asiende.' Rais Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wazee wa Dar es Salaam Tanzania amesema wazee wa nchi hii wazungumze hayo katika mabaraza yao. #uchaguzi #maandamano #foryou #samiasuluhuhassanSubscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw