Skip to main content
Skip to main content

Rais Samia awakemea wakosoaji, asema Tanzania haijalishwi na mataifa ya nje

  • | Citizen TV
    2,310 views
    Duration: 2:57
    Tuvuke mipaka tuelekee taifa jirani la Tanzania ambako Rais Samia Suluhu Hassan, amezikosoa vikali nchi za kigeni kwa kile alichokitaja kama kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania. Rais Suluhu akizituhumu nchi hizo kwa kuunga mkono madai ya upinzani kwamba uchaguzi wa Oktoba ulikuwa na dosari. Akilihutubia taifa, Rais Samia alisema kamwe Tanzania haijalishwi na vitisho vya mataifa ya magharibi kutishia kubana ufadhili