- 21,193 viewsDuration: 28:10Mjumbe maalum wa Rais Trump - Steve Witkoff yupo mjini Moscow akiandamana na mkwe wa Rais Trump - Jared Kushner. Mkutano huo unafanyika baada ya Serikali ya Urusi kutangaza kwamba vikosi vya jeshi la nchi hiyo vimeuteka mji wa Pokrovski wenye umuhimu mkubwa katika sekta ya uchukuzi na ambao umekuwa katikati ya mapigano makali kwa miezi minne sasa. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw