- 620 viewsDuration: 2:11Viongozi wa upinzani wameendelea kukosoa chaguzi ndogo za eneobunge la Mbeere North na Malava za alhamisi iliyopita wakisema hazikuwa huru wala za haki. Viongozi hawa wanashikilia kuwa wagombea wake kwenye chaguzi hizo ndio walishinda.