Skip to main content
Skip to main content

Mwanamke Bomba | Florence awasaidia vijana wa kurandaranda Eldoret

  • | Citizen TV
    220 views
    Duration: 3:39
    Watoto wakurandaranda mtaani mara nyingi wamepuuzwa na jamii, huku maisha yao yakisalia ya kuomba omba tu. Ni hali hii iliyompa motisha Mama Florence Akinyi Onyango kuanza kuwashughulikia vijana wa kurandaranda katika mji wa Eldoret kaunti ya Uasin Gishu. Kwa sasa akiwa amewashughulikia takriban vijana 400. Mbali na kuwapeleka shule vijana hawa, mama Florence pia huwasaidia kulipa bima ya SHA na hata kuwapa ajira. Hebu tusikilize simulizi yake.