- 14,593 viewsDuration: 8:34Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametetea hatua zilizochukuliwa na vyombo vya ulinzi na usalama wakati wa machafuko ya Oktoba 29, siku ambayo maandamano na mapambano baina ya waandamanaji na Polisi yaliripotiwa kusababisha vifo na majeruhi katika maeneo kadhaa nchini humo. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw