Skip to main content
Skip to main content

Mfanyabiashara wa vipodozi Jenifer Jovin maarufu Niffer na Mika Lucas Chavala waachiwa huru

  • | BBC Swahili
    14,793 views
    Duration: 46s
    Mkurugenzi wa mashtaka nchini Tanzania amewafutia mashtaka na kumwachia huru mfanyabiashara wa vipodozi Jenifer Jovin maarufu @_.niffer._ na Mwandishi Mika Lucas Chavala, @mikachavala waliokuwa na kesi ya uhaini. DPP amewafutia kesi hiyo ya uchunguzi namba 26388/ 2025 chini ya kifungu namba 92(1) cha Sheria ya Makosa ya Jinai, Sura ya 20 ilivyofanya marejeo mwaka 2023. - - - #tanzaniatiktok #niffer #mikachavala #bbcswahili #foryou