- 76,647 viewsDuration: 1:16Rais wa Marekani Donald Trump amesema hataki wahamiaji wa Kisomali nchini Marekani, na kuwaambia kuwa wanapaswa "kurejea walikotoka." "Siwataki katika nchi yetu, nitakuwa mkweli," amesema wakati wa mkutano wa baraza la mawaziri siku ya Jumanne. Trump amesema Marekani "itaharibika ikiwa tutaendelea kuchukua takataka katika nchi yetu." - - #bbcswahili #wasomali #marekani #wahamiaji Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw